wakazimusic

Wakazi The Bilingual BEAST

EmCee | Rapper | Visionary | Actor | Philanthropist| WORKETHIC | Kora Nominee #BestHipHop | 1/4th SSK | wakaziwavina@gmail.com | Kisimani Album 👇🏽👇🏽

Loading...
RATIBA YA MAZISHI: Leonard Yohana Christopher. Familia imetoa ratiba ya Mazishi (Pichani) ya mpendwa wetu Leonard "Big Boss Chadoggy" Christoper, ambayo yanatarajiwa kufanyika kesho kijijini Mtumba, Dodoma. Ratiba itaanzia Mochuari, kuchukua mwili wa Marehemu na kuupeleka nyumbani kwa Mjomba wake (Henry Leonard Pelez) ambae alikuwa akiishi nae. Baada ya Breakfast kutakuwa na zoezi la kutoa heshima za mwisho, kisha safari ya kwenda Mtumba itaanza. Chakula cha mchana kitafuatana na Ibada, kisha mazishi. Wote mnakaribishwa. Kwa Wasanii, Mashabiki, Marafiki au Wadau mbalimbali mlioguswa na msiba huu mnaweza kuchangia kupitia Anselm " @soggydoggyanter " Ngaiza (Mweka Hazina Hip Hop Community): 0754772220 (M-pesa) Henry Leonard Pelez (Mjomba Wa Marehemu): 0653284828 (Tigopesa) Webiro " @Wakazimusic " Wassira (Mjumbe wa Hip Hop Community/TUMA): 0717367673 (Tigopesa) Daudi " @dahood19 " Mfundo (Childhood Friend)/ Especially for those abroad: +1(651)497-9540 #BwanaAmetoa #BwanaAmetwaa #RestInPeace #Leo #Lenny #BigBoss #Chadoggy
Jana nimetimiza miezi 7 toka tumeachia rasmi album hii ya #KISIMANI it has been a long journey !! They album is still relevant kama vile imetoka jana, bado single kadhaa hazijawa released to the media... and like 4 videos to drop. Ingawa through mitandao album imeshafika, but CD mikoani safari yake ndio inakaribia kuanza rasmi pia. I'm proud of the work I did, na huwa napata Faraja sana nikipewa positive feedback. Natamani kungekuwa na Tuzo, alafu kuna Category ya Album Bora ya mwaka ikawepo pia, Maybe ninge secure a nomination tu, na kuuaminisha umati juu ya ubora wa kazi hii. Maybe wataongezeka zaidi walioisikia na kuwaambia wenzao badala ya kuniambia mimi. All in all, the saga continues, na madini ya Kisimani bado yanagawiwa!! What's your favorite track?! Don't I deserve Album of The Year?! Which other song unataka niachie as a single?! Unasubiri video ya wimbo gani zaidi?! Let's talk KISIMANI... #Workethic #KisimaniSeason #TheWholeYear
Loading...
IS IT SAFE TO SAY THAT WE AINT SAFE?! IS SAYING THAT WE AINT SAFE, SAFE?! ARE WE SAFE?! IS IT SAFE TO SAY THAT IT AINT SAFE TO SAY WE AINT SAFE?! Abduction ya such a high profile individual like Mo, katika one of the allegedly "safest address" in Dar, inaweka doa kubwa sana kwenye vyombo vyetu vya usalama na ni aibu kubwa sana. They need to redeem themselves iliwaweze ku win over our trust again. Dar Es Salaam means "Bandari ya Salama" or "Haven of Peace". Ila kwa Hali hii, kuna USALAMA kweli?! Wapo watu wamepotea/Wametekwa na mpaka leo hatujui walipo. I hope Mo atapatikana, Ila this should be a wake up call kwa viongozi wetu to revise the security of its people and its borders. Mo you are good people brother, I pray for your safe return!! Maybe trough you we will get back Ben Saanane, Azory Gwanda, as well as other unknown abducted commoners. #BringBackMo #Day7
#WCW there is nothing sexier than a female deejay... And the sexiest of all is a fine ass female DJ like this one here @djjazy_official 😍😍 #WCW #FemaleDJEdition
#WCW hope you enjoyed your birthday DJ Lexi... more blessings to you!! @alexiaofficial1 #WCW #FemaleDJEdition
TZ Hip Hop Community imepokea taarifa za Msiba wa Msanii mwenzetu, Big Boss aka Chadog (Leonard Yohana Christopher). Msemaji wa Familia amesema, Leonard ameugua kwa muda tatizo la Figo na Ini, na Hali yake baada ya kuonesha kuimarika, ghafla jioni ya jana ikabadilika akiwa hospitali na kupelekea kufikwa na Mauti. Big Boss ambae alikuwa ni mkazi wa Ilala (Dar Es Salaam) kwa kipindi kirefu zaidi, amefariki akiwa Dodoma, ambapo alikuwa anakaa na Mjomba wake. Familia itatoa taarifa zaidi za ratiba ya maombolezo na mazishi, baada ya uhakiki. Big Boss @big_chadogg alikuwa ni hip hop artist, na mmiliki wa Moto Records. Mdogo wake pekee @triggermcee nae ni Mwanahiphop pia, ila kwa sasa yupo nje ya nchi (Marekani) Pole kwa Friends, Fans and Family ya Big Boss, na tutawapa taarifa zaidi baada ya Familia kuidhinisha. Kwa marafiki wa Marekani mnaweza kuwasiliana na Daudi Mfundo @dahood19 for more details. Na kwa wasanii wasiliana na @wakazimusic au @soggydoggyanter !! Big Boss ambae alikuwa mkazi wa Ilala, alifanya kazi kwa ukaribu sana na Chidi Benz na Lafamilia kwa ujumla. Wimbo wa "Black on Black" ft One Incredible & Chid Beenz ulikuwa moja ya kazi zake Maarufu zaidi. Pia mwaka 2015 alifungua studio ya Moto Records, na alifanya kazi na wasanii wengi wakiwepo @NikkiMbishi , @cpwaa @pmawenge @DukeTachez , @zaiidyao na Trigger MC, ambae ni mdogo wake pekee. alianza kufanya kazi na Radar Ent. ya @tidmusic na akaji rebrand kama "Chadog". MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA" #RIPLeo #Chadogg #BigBoss
The other day with @sabithatsu @xue.03xvx.shantell rehearsing "Paid My Dues" for @frankiemaston show...!!
Participated in the marathon with Family & Friends... fun times indeed!! #RotaryDarMarathon
Baada ya manyanyaso mengi... ilibidi nibadili umbali. So I did 9km instead. Natukihesabia na 2 hours za kusubiri kuanza, it's like nimetembea 15km hivi. Wadau mnasemaje @dotty_kipeja @sofiabyanaku @bdozen @_winniewonder_ 😂😂😂 #RotaryMarathon next year we doing 21km inshallah !!
Earlier today with @sabithatsu @xue.03xvx.shantell at Soundcheck for @frankiemaston event at Oysterbay Shopping Center. We starting at right now... it's going to be a memorable night... Don't Miss!! #workethic
Hata mimi nina kimbia marathon asubuhi, so it's not an excuse to miss my show this evening... and that's why we are starting early as well and be done by Midnight!!! Watu wananicheka kuwa Mwanamme wa Dar I'm running only 5km.... hey at least I tried. You should acknowledge the effort. 😂😂😂 #FrankieSingsGoodbye tonight, #RotaryMarathon in the morning !!!by the way the Jerseys are 🔥🔥🔥 #SupportYourOwn
Yesterday at @nafasiartspace rehearsing for today's show... ni pale Oysterbay Shopping Center kuanzia 6pm. Early arrival is advised. #workethic #LiveMusicExperience ...
next page →