idrissultan

Idris Sultan

KING BILA TAJI !!! 👑 “KING MAJUTO”

Loading...
Maswali niliyoulizwa na fans kwenye insta stories zangu might be the best interview nimefanya in my life 🥂 .... #Blessed #Jopo #SioHabari #Hollywood #Winning
Mimi kama mchambuzi professional wa mpira Tanzania (kaushaaaaa) nasema hii sio ya kukosa kila ijumaa saa mbili na nusu night East Africa Radio na Radio One 😆🙌🏽...
Loading...
Ngoja nijaribu kutunga jinsi ya kuwa bilionea kwa hii 500. . Nunua tikiti kwenye lori la jumla 500, uza 1500 mpaka 2000 ila nitacheza na 1500. Nunua matikiti mawili 1000 na uuze 1500 jumla 3000. Ile 500 ya usumbufu tu. Chukua matunda mchanganyiko ya 2500 Kwenye maeneo ya jumla kumbuka utapata kwa bei rahisi alafu uza utapata 5000 mpaka 7500 ila nacheza na 5000. Ukifanya vile vile inakuja 10,000 alafu 20,000 alafu 40,000 alafu 80,000 alafu 160,000. . Chukua 100,000 anzisha station ya matunda mtaani kwenu na lengo iwe kukishi mahitaji madogo. Ndani ya wiki ilutakuwa na 300,000. Anza kuongeza viungo vya kupikia na mboga za majani. Utavuta 500,000 ndani ya wiki mbili. . Wakati haya yanaendelea jaribu kufungua account bank, iweke fixed kama mwaka tu, kufungua account siku hizi hata bure. Weka 5,000 kila siku (usipuuzie) kuna sim banking kwahiyo unaweza hata weka kwa mpesa. Sasa tukifanya hujabadilika inamaana unaingiza 500,000 kwa wiki mbili kwenye duka lako la matunda na mboga na pia ndani ya mwaka utakuwa na 1,825,000 kwenye account yako. . Nunua pikipiki 1,500,000 ajiri ndugu yako ambaye unamuamini hana kazi muambie akuletee mahesabu ya 70,000 kila wiki alafu ndani ya mwaka utamuuzia kwa 700,000 pikipiki inakuwa yake (investing mind). Mwisho wa mwaka unachukua 4,060,000. Mpaka sasa tumetumia miaka miwili najua ni mingi ila nenda sawa na mimi. Nunua gari used 5,000,000 (Unayo kwasababu una biashara kubwa na nimeacha kuiongelea lakini inakuwa ngoja niirudie sasa). Kwenye duka lako fanya kama mini supermarket, kuna matunda na vitu vingine vya madukani vya kula n.k. Kwa mwezi unaingiza 1,500,000 kwahiyo kwa mwaka hauna chini ya at least 10,000,000. Weka na ile 4M una 14M weka na 1.8 ya mwaka huu wa pili una 15.8 approx 16M. . Narudi sasa chukua gari used 2 za 6M kila moja(nimebadilisha, sio 5 tena, sijasahau). Sasa una gari mbili na 4M. Chukua pikipiki 2 pia unabaki na 1M. Zile gari weka Uber dereva akuletee 30,000 kwa siku kila gari basi utakuwa na 21,900,000 mwisho wa mwaka. Pikipiki fanya kama ya mwanza kwa hizi mbili utakuwa na 8,120,000, dukani utakuwa na 10,000,000 na bank utakuwa na 1,800,000, basi jumla ni 41,820,000. . Au nunua bando nitukane, ni wewe tu ☺
Kwani dada @zamaradimketema na mimi nilikosea wapi labda ? Mbona umeniblock ? 😰.. Si ungeniambia tu kama mshono hukuutaka.
Dahhhh watu wanasepa na magari tu 😭😭 @vodacomtanzania #Miaka10YaMpesa #KweliPesaNiMpesa
Noooooooobody can party like us bhanaaa 🔥🔥🔥 ila @jaymondy_ niajeeee Titanic ilizama ? 🤣🤣🤣 cc: @uber_tanzania #UberBoat 🎥: @sicos_
Mkeka wangu wiki hii, tusiigane maana tutapotezana 🤣🤣 @tzsportpesa
Kwani Ben mi nimekukosea wapi kwani ? Picha uliniomba ni-edit mwenyewe alafu ukawa hupokei simu 🤣🤣🤣 @iambenpol
Sio Habari haiji kitoto 🔥🔥🔥 cc: @azamtvtz #SioHabari #SmartGeneration
UWOYA challenge 😰
Kwa kutumia hii picha na uchizi wako tunga sentensi ukimalizia na maneno “.... na mpesa” 😂.. @vodacomtanzania . #Miaka10YaMpesa #KweliPesaNiMpesa 📷: @infocusstudios
next page →