#goldenpresenter

73 posts

Loading...
Loading...
MUNGU NI MWEMA #goldenpresenter
Wimbo wa Nikusaidieje wa professor j sikuwa nimepangwa Kuingiza ile chorus, ile ni chorus ya pili baada ya sumalee Kuingiza kwa mara ya Kwanza lakini pfunk na professor j hawakuridhika ndo nikapewa nifanye mimi nasio Kwamba sumalee alifanya chorus mbaya. #FEROOZ . #goldenpresenter
Mi ndo msanii wa Kwanza kutumia jina la Becka katika muziki huu wa Bongo Fleva na hao Becka wengine wanajua mi ni kaka yao nawa inspire sana. #BECkTITLE . #goldenpresenter
Mr kesho kupitia #linkupupdate ya #KMW kissfm amemtaja @wolperstylish kama Star wa kike Bongo anaemzimia #goldenpresenter . #jibebe #kissmostwantedtz #nitakenini #bongoaflevaInDubai #bridalmakeup
Gelly alifunguka kupitia #linkupupdate ya #KMW nakudai alidhurumiwa na hakupata chochote kutoka kwenye wimbo wa #mamantilie @officialgelly. #goldenpresenter . #jibebe #mwanzard #diamondplatnumz #mamantilie #kissmostwantedtz #nitakenini
Bonga : Studio ya better sound mi ni producer lakini yupo boss, watu wanasema nipo chini ya harmonize, sio kweli harmonize hajawahi sema kokote nipo chini yake. #goldenpresenter
Professor Jay " Studio ya Mwanalizombe ipo tayari sema nilisimama kidogo kutokana na kupatwa na matatizo ya kubomolewa makazi ambayo ndani yake kulikiwemo vifaa vya studio ,ila tumeagiza vingine na kwenye mwezi wa 12 studio itakuwa tayari . . #braveinfo #goldenpresenter
My life is still under construction . . #braveinfo #goldenpresenter
Nawazoom km drone ... #goldenpresenter
#BEINSPIRED . . Runtown ni msanii kutokea Nigeria ambaye watu walianza kumfaham kupitia wimbo wa #Gallardo aliyomshirikisha #davido ,ni mwandiahi mzuri wa ngoma alishahusika kuandika baadhi ya ngoma za Davido ikiwemo Aye . . Run town wakati anakuwa alikuwa na ndoto ya kuwa mchezaji wa mpira wa kikapu hasahasa NBA nchi marekani . Lakini bahati nzuri pia akaangukia kwenye muziki kitu ambacho hakikua plan yake before . . MUNGU hutqmbua wewe utakuwa nani kwa wakati upi ,kama usipotambua mapema kipaji chako halisi basi huenda ukachukua muda mrefu kufikia ndoto yako . . #goldenpresenter #braveinfo
@juma_jux #Zaidi . Behind the scene . . #goldenpresenter #braveinfo
@tidmusic amefunguka na kusema @ommydimpoz alikuja top band hajui kuimba na alikaa miaka 4 Rada ent ya Mnyama tid . . Tid pia kawataja @billnass na @stevernb kuwa ni miongoni mwa wasanii ambao anajivunia kwakuwa wamepata experience ya muziki wakiwa chini yake . . #braveinfo #Goldenpresenter
KISS MOST WANTED #KISSFMTZ Join us 5-8 Mchanaaaa . . #goldenpresenter
RELATIONSHIP GOALS . @nahreel X @aikanavykenzo . . #Goldenpresenter #braveinfo
Kama ni mfatiliaji wa muziki basi hutashangaa kusikia kuhusu Ruby na kusah , uhusiano wao umekuwa wa moto ,ukichana na kuandikiana ngoma ,kusaha ameshiriki kuandika wimbo wa Ntade wa Ruby uku Wakizidi kuitana baby na kupostiana Instagram . . Kusah ni mwanamuziki tokea Tanga na Ruby naye anatokea Tanga ,Sasa kwa unconnect dots za hawa watu wawili basi hii ni miongoni mwa couples mpya mjini bbongo flevani . . #braveinfo #goldenpresenter
#TheCorner . . Country boy amemtetea Mshikaji wake Wanayeunda Click ya MOCO Moni wa Centrozone baada ya watu kumdadisi kuwa amevaa kikuku . . Kupitia linkup updates ya #kissmostwanted #kissfm Country amesema ile haikuwa kikuku ni bracelet ila watu wameshindwa kuelewa ,ukiwa unafanya vizuri kwenye game lazima utazungumziwa tu ndo maana ata #Nikkimbishi amepata interviews nyingi kwasababu ya kutuzubgumzia kwahyo tumemsaidia amesema 'Country boy ' . . Country Boy ameachia wimbo wake mpya kukomesha utakao patikana kwenye album ya #YULEBOY inayotarajia kutoka katikati ya mwezi wa Tisa . . #goldenpresenter #braveinfo
#NAKUJUZA . . Eminem kupitia album yake aliyoiachia kwa kushtukiza jana KAMIKAZE Amewachana marappers wengi akiwemo #Drake ,#lilpump , #lilyachty ,#joebudden #machinegunkelly . . DRAKE . Unapata views wengi lakin bado upo chini yangu wa kwangu wako juu ,ukilinganisha utaangaliwa kwa makini . . LIL PUMP . Lil pump ,lil xan anamuiga lil Wayne . . LIL YACHTY . Nashangaa watu wanampenda lil yachty lakini sio Mimi ,ata sio kwa kumdiss ,sio level yangu . . SWALI NI JE WATAJIBU DISS HIZI TOKA KWA EMINEM ! ? #goldenpresenter #braveinfo
#NAKUJUZA . . JLO hapendi kabisa kutumia Computer ,na ukitaka aondoke basi tumia computer karibu yake . . #goldenpresenter #braveinfo
New pair,for every time he goes out . . #goldenpresenter #braveinfo
#NAKUJUZA . . Baada ya kuachiwa kutoka Jela Rapa Kodak Black na kuzikataa ofa mbali mbali za show huko Marekani na kudai kwa sasa ana focus kwenye muziki wake . . Sasa picha ambazo zinasambaa kwenye mtandao akiwa na Bruno Mars zinaashiria wawili hao wanatengeneza kitu kwaajili ya mashabiki wao . . #goldenpresenter #braveinfo
@ommydimpoz still recovering , #goldenpresenter
Hii Mic ni Shamba na Mimi ndo mkulima navuna ninachopanda na ulimi ndo unalima . . #goldenpresenter #IGP
#NAKUJUZA . . Tuzo za Afrima kufanyika September 1 mwaka huu na nominees wametajwa huku @diamondplatnumz akipata nomination 6 ikiwemo ya Artist of the year ,@mauasama round hii ataiwakilisha Tanzania kwa upande wa best female kwa Afrika ya mashariki . . @rayvanny ,@harmonize_tz Watachuana na Diamond kwenye best male east Afrika . . #goldenpresenter #braveinfo
#NAKUJUZA . . Rapa kutoka Nigeria M.I anamkubari Rapa Nasty C kutoka Afrika ya kusini akimtaja kama Rapa anayefanya vizuri kutoka Afrika,M.I amesema yeye bado ataendelea kuwa Best Rapa Wa Afrika kutokana na uwezo alionao . . M.I amethibitisha kwa kusema ata #wizkidayo ni msanii ambaye aliniambia kuwa Mimi ndiye best Rapa Afrika ,sasamtu kama wizkid anakwambia hivyo lazima ukubari kuwa ni best Rapa ,ingawa nakubari kile ambacho anakifanya nasty C kwa sasa . . #goldenpresenter #braveinfo
#NAKUJUZA . . @izzo_biznesss kupitia #kissmostwanted alifunguka kutotamani kwa sasa kuwa kiongozi kwa kuiwakilisha Mbeya , Izzo amesema Kutangaza Nia sasa hivi ni kujiweka katika hatari . . Hii imekuja baada kuona wasanii wengi wakiingia katika siasa ikiwa ni pamoja na SUGU ambaye anaiwakilisha mbeya na wiki chache @nikkwapili kutangaza kuwa anatamani kuja kuwa Raisi wa Tanzania . . #goldenpresenter #braveinfo
#NAKUJUZA . . Dayna Nyange Anasema aliwahi kumzimia star kutoka hapa Tanzania ila hakuwahi kumwambia kuwa anampenda ,pia ameendelea kumkana Kala Jeremiah kuwa hamfaham licha kipindi cha nyuma kuonekana ni washikaji . . #goldenpresenter #braveinfo
#NAKUJUZA . . @rayctanzania amesema hakuna wakuchukua nafasi yake kwenye game ya bongo fleva ,yeye ni legend na ndiye amehustle kuusimamisha muziki huu kwahyo hakuna wa kuuchukua nafasi yake . . Amefunguka hayo kupitia Linkup updates ya #kissmostwanted ya #kissfm , hii inakuja Baada ya kuonekana sasa game ya muziki kwa upande wa wakina Dada imekuwa na ushindani ,kwa wasanii kma @officialnandy ,@vanessamdee @mauasama na wengine wengi . . Unaweza kutembelea @yusuphdebrave Kwa ma info mengi zaidi #recentforrecent #likesforlikes #l4l #kingkiba #wandex 📷 #rayc #vanessamdee #mauasama #nandy #goldenpresenter #braveinfo IP
#NAKUJUZA . . Ray C amesema hakuna wakuchukua nafasi yake kwenye game ya bongo fleva ,yeye ni legend na ndiye amehustle kuusimamisha muziki huu kwahyo hakuna wa kuuchukua nafasi yake . . Amefunguka hayo kupitia Linkup updates ya #kissmostwanted ya #kissfm , hii inakuja Baada ya kuonekana sasa game ya muziki kwa upande wa wakina Dada imekuwa na ushindani ,kwa wasanii kma @officialnandy ,@vanessamdee @mauasama na wengine wengi . . #goldenpresenter #braveinfo
MUNGU Yu pamoja naww na atakurejesha katika hali yako ya kawaida . . #goldenpresenter
Matatizo na changamoto tunazozipitia wanadmu ni kutokana na mitazamo tuiwekayo juu ya matatizo hayo . . #goldenpresenter
@izzo_biznesss atakuwepo live kwenye kiss most wanted ya kiss Fm ,kwanzia 11:00-14:00 mchana ,. . #goldenpresenter #tunakichafuaaaaa
In my feelings #goldenpresenter
Salute to all the real ones out there . #goldenpresenter
Wanasaikolojia wanatusanua Kuwa Unapochagua muziki mzuri wa kusikiliza asubuhi basi huenda siku yako ikaenda vizuri sana . . #goldenpresenter
Money is nothing yet it is the only thing #hustler #goldenpresenter @tangaza_biashara_arusha
Vibonge wenginE bhanaaa 😂😂 . #goldenpresenter
Hakuna mwalimu mkali kama Dunia Usiombe ufundishwe naye,na ili uwe mwanafunzi bora inakupasa ww kujifunza kutoka kwa mwanafunzi aliyefundishwa na mwalim Dunia . . #goldenpresenter
Neno Watanionaje,watanichukuliaje ni Neno ambalo litakukwamisha kutofikia malengo . . #goldenpresenter
#NAKUJUZA Ellon Reive Musk alipouza mtandao wa Paypal $180Million, $100 Million akawekeza kwenye kampuni ya Space X na $70 Million akawekeza kwenye kampuni ya Tesla na $10 Million akawekeza kwenye kampuni solar City yaan hakubakiwa na pesa yoyote ikabidi achukue pesa ya kodi ya nyumba ,na hii aliamini kwamba baada ya muda atatimiza ndoto yake . . Na mwaka 2006 alitajwa na Jarida la Forbes kati ya vijana wenye ushawishi mkubwa duniani .pia mwaka 2018 ametajwa kuwa na utajiri wa $ 20.8 Million akiwa katika nafasi ya 52 . . UKIONA HUJAWEKEZA IPASAVYO KWENYE NDOTO YAKO BASI UJUE BADO HUJAIAMINI . . #goldenpresenter
Kujiamini ni miongoni mwa siri kubwa ya mafanikio . . #goldenpresenter
kufikia malengo yako kunahitaji , 1: Kumtanguliza MUNGU 2: Kutambua kipaji chako . 3: Kukionyesha kwa watu . 4: Juhudi katika jambo lako . 5: Kukifanya kipaji hicho kikuingizie pesa .( Commercialize) . . #goldenpresenter
#NAKUJUZA . Mwanamuziki @youngdaresalama amethibitisha kufunga ndoa ya kimya kimya Leo na imethibitishwa baada ya kureply kwenye post ya mtangazaji maarufu @kitengemaulid . .#goldenpresenter
Nipate kila jumamoc na jumapili kupitia kiss FM #kissmostwanted kwanzia saa 5-8 mchana DSM ni 98.9 Mwanza ni 88.7 . #goldenpresenter #uswahilinikunavituko
Binadamu wanamambo sana unaweza ukawa unaogelea ukaambiwa unatimua vumbi . #goldenpresenter #uswahilinikunavituko
#NAKUJUZA Rapper Eminem Yeye anaamini katika njia moja ya mafanikio ili uweze kufikia malengo yako . Je wewe unaamini katika njia ngap za mafanikio ? . #goldenpresenter
Mpende jiran yako kama nafsi yako ......... #goldenpresenter
next page →