#bravetvonline

3 posts

Loading...
BEST COLLABO . #Huyosiodemu ilitoka Mwaka 2010 Hii ilikuwa moja ya ngoma iliyomfanya abdukiba kusumbua kwenye air waves za media mbali mbali Wimbo huu ulifanikiwa kuingia kwenye Tuzo za Kilimanjaro Music Awards kama Wimbo bora wa mwaka lakini haukufanikiwa kushinda , Abdukiba aliwashirikisha Nay wa Mitego pamoja na Neyba ,ngoma iliguswa na producer mazuu . Credit by @bravetvonline
Loading...
#Flavatrack . Wakati wakina Diamond Benpol ndio wanatamba na vinyimbo vyao official vya kwanza Alikiba alikuwa alishaanza safari ya kimataifa ilikuwa October mwaka 2010 ambapo mtandao maarufu wa Airtel uliwakusanya wakali kutokea Africa ili waweze kurekodi ngoma na mkali R-Kelly akiwa katika moto wake everybody knows that . Ngoma ilipewa jiña Hands across the world ilirekodiwa huko Chicago nchini Marekani wasanii kutoka Africa akiwemo . ALLYKIBA. FALLY IPUPA . 2FACE IDIBIA. AMANI . NAVIO . 4X4 . MOVAIZHALEIÑE Kwa sauti zilizopangwa kwa ustadi wa hali ya juu ni kwa sababu walikuwa wakiimba na mkali wa R&B Allykiba kwa mujibu wake anasema R-Kelly alitokea kuipenda sauti yake , Mwanamuziki ambaye alikuwa msumbufu kuingiza vocal alikuwa ni Fally ipupa na ni kutokana kingereza kilikuwa kinampa shida wakati huo . Hands across the world ni ngoma kali sana na iliitambulisha Tanzania vyema . #bravetvinfo #bravetvonline #braveinfo #kingkiba #rkelly @officialalikiba