#Nikkimbishi

402 posts

Loading...
Loading...
#PichaYaSiku na Baba malcom #NikkiMbishi .
Baba fataki mama ni dent anayerubuniwa Kwa chips na mishkaki na kisha chenchi inabaki anaachiwa Mimba anajazwa na kuharibiwa future. Siku inakucha mi nazaliw Ah nakulia upande mmoja wakikeni yashikeni haya mahubiri kwaya na injili Mama anasota waya kibaya hakuna dalili Leo ikipita vita ya kesho tunaisubiri Kitendawili kwenye nyumba za kupanga Kodi kuikabili uwe jasir kama mganga Aah hisia ndani ya story Mama kapata mume anayesafiri na malori Am sorry fo ma mama ndo Dama kazaliwa Kama drama baba kavuta mamakadhulumiwa nyumba gari. Na pesa mali na kila kitu Kila akitafakari ile hali halali usiku Miaka saba ikapita umri wa kwenda shule Mama akaanzisha kisaluni ili tule Mama zangu wakubwa ndugu na wajomba Wakawa ndo kimbilio misaada kwenda kuomba Napokosa nauli shule hakuendeki mama anaumia Nazijua shida so sicheki na hii dunia Mungu anakusudi atakuona ukimwangukia Nia juhudi na sala kwa imani daima ndio njia ... .verse ya ......2 Yeah .Wakati we umebeba mimba na unataka kuitoa Kuna mwingine hana kizaz karibu anaikosa ndoa Imani imesambaratika kama dola ya kirusi Ile sauti inayoskika ikiita mola ni ya kirusi Back to the story nakuwa naiona dunia Bila hamasa kwenye hanasa za kutumia mihadarati Namuomba Mungu nisishawishike Fungu nishike hii mikakati uchungu ufutike Kama una swali. Usihofu liulize naona ntajibu Kwa hisia za Muziki niache nianfike yaliyonisibu Nwendelezo na mchezo unajirudia Mama analia dama hana tena uwezo wa kusikia Baada ya kulazwa mautiut uti. Wa mgongo Nusu kaputi huku kwinenie zikiharibu ubongo Mama jasiri kaziona tabu shupavu Chaajabu Dama anapona japo hali. Ya ulemavu .....yeah Kutoka kwa True story #nikkimbishi
Hop hop Freestyler #nikkimbishi #unju Baba malco safali ndio inaanza #wasafifestival2018
Tuko ndani ya uchambuzi wa beat za wakubwa #nikkimbishi #nikkimbidhi Twendende zetu #iringa #wasafifestival2018 #iringairingairingamast
Mchinja mbwa wazimu wamrudia #NIKKIMBISHI Tangu nakushabikia siwajahi kukuona unapangwa katika stage la Fiesta lolote lile Naomba leo ufanye yako Unarudi Dar aaa wapi
Songa ft nikki mbishi x one incredible x wakazi x gheto ambasador x p the mc x hostler manso li x hard mad... | power II Download via link on my bio #songa #nikkimbishi #wakazi #oneincredible
#JAMIIYANGU ALSO SAUTI YA @barnabaclassic ALISIKIKA AKITUPA FEED BACK JUU YA ALBUM YAKE YA GOLD TOKA IMETOKA SO FAR MPAKA SASA IKOJE. #BARNABA AMENICHANA MPAKA SASA KWA #EASTAFRIKA MPAKA SASA ALBUM YAKE NI YA PILI KWENYE MAUZO YA NJIA YA MTANDANO BAADA YA ILE YA VANESSA. #theplaylist #tidmusic #tid #jamiiyangu #watapatatabusana #mgusowajamii #dogojanja #ireneuwoya #katika #jibebe #shida #mgusowajamii #godzilla #billnass #nikkimbishi #industrybuzz #buzz #ankalii #jamiiyangu #dupybeatz #trap #dupy #buzz #vanessa #barnaba #buzz
#JAMIIYANGU LEO KWENYE SHOW LA KIBABE #THEPLAYLIST KIPANDE CHA #INDUSTRYBUZZ SAUTI YA @dupy_beatz AMENIADRESS KUWA MPAKA SASA HIVI ANAHISI AMECHANGIA KWA ASILIMIA 80 KWA MUZIKI WA BONGO FLEVA KUKUWA HASA MUZIKI WA TRAP. @dupy_beatz ALINICHANA JAPO ANAONA KAFANYA KAZI KUBWA KWENYE MUZIKI LAKINI ANAONA HAPATI RESPECT ANAYOTAKIWA KUPEWA. #theplaylist #tidmusic #tid #jamiiyangu #watapatatabusana #mgusowajamii #dogojanja #ireneuwoya #katika #jibebe #shida #mgusowajamii #godzilla #billnass #nikkimbishi #industrybuzz #buzz #ankalii #jamiiyangu #dupybeatz #trap #dupy #buzz
zile 16 bars zitakuwepo paleeeeeee #nangwanda #WASAFIFESTIVAL2018 michano itachanwa kama nyama za sambusaaaaa #nikkimbishi #monni #onecredble #countryboy #singasinga alafu Xaxaaaa ..........ile konkiiii yao sasa #mchezousichezekabisaaaaaaaaaaa @mbabavc naomba ticket yangu mapemaaa
#JAMIIYANGU ALSO SAUTI YA MAMA MZAZI WA @hamisamobetto @mama_mobetto ILIPATA NAFASI NA MOJA YA ISSUE AMBAYO ALITUCHANA BAADA YA PICHA KUZAGAA ZIKIMUONYESHA MPENZI MPYA WA #HAMISSA NA MPAKA KUFIKIA HATUA YA KUTOA VIDEO WAKIWA WOTE. NA MAMA YAKE ALINICHANA KUWA MPAKA SASA HAMTAMBUI MPENZI MPYA WA #HAMISSA KUTOKANA NA JAMAA BADO HAJAFIKANYUMBANI KWA HIVYO HAMTAMBUI KAMA MKWE WAKE MPAKA SASA. #theplaylist #tidmusic #tid #jamiiyangu #watapatatabusana #mgusowajamii #dogojanja #ireneuwoya #katika #jibebe #shida #mgusowajamii #godzilla #billnass #nikkimbishi #industrybuzz #buzz #ankalii #jamiiyangu #hamissamobetto #mamamobeto #tunaendana
#ANKALI ANOTHER ONE LEO KWENYE #INDUSTRYBUZZ SAUTI YA PRODUCER @s2kizzy ILIPATA CHANCE AKITUCHANA JUU YA KUACHANA NA STUDIO ZA #@switchstudio AMBAZO ZINAMILIKIWA NA #QUICKROCKA . #S2KEZZY ALINICHANA SABABU KUBWA YA YEYE KUONDOPKA NI KUACHIA WATU WENGINE CHANCE YA KUWA PALE NA PILI ANAHISI NI MUDA SAHIHI KWA YEYE KUKUA NA KUWA NA STUDIO ZAKE NA PIA ALIKANUSHA TAARIFA AMBAZO ZINAZAGAA KUWA YUKO KWENYE STUDIO ZA #RAYVANNY #theplaylist #tidmusic #tid #jamiiyangu #watapatatabusana #mgusowajamii #dogojanja #ireneuwoya #katika #jibebe #shida #mgusowajamii #godzilla #billnass #nikkimbishi #industrybuzz #buzz #ankalii #jamiiyangu #s2kezzy #rayvanny #switcherbaba #quickrocker
I decide not to stop 🤗💪🏿sijui nyie @hamid_hazard @treypandev song #Sammagoli by @nikkimbishi #workout #gym #fitness #nikkimbishi #godfearing
#NickasMachuche #Mzimuwanyererebutiama #Nyegerebabawacypher #Nikkimbishi #Zohan #Shatopaz #Telvice #Jukebox #Tishio #Jogoo #Playboy #Unjuzwangendaba #Unjuwakota #Dr .unjubinunuk #Sammagoli Jah bless ire #unju 24 November,#wasafifestival kinuke ile ile ee! Maana hater walibana sana, now I wish big ting for all niggaz @nikkimbishi @onetheincredible @dudubaya /kokikonkikonkimaster
#jamiiyangu ALSO SAUTI YA @enockbellaofficial ILIHUSIKA KWENYE #industrybuzz KUPITIA INFO AMBAZO NILIZIPATA LAST WEEK KUWA HAYUPO BONGO NA ALIKUWA PANDE ZA KENYA AMBAPO TAARIFA ZA MWANZO ZILIKUWA ZINASEMA KUNA DEAL KALIPATA KULE NA HUENDA MAKAZI YAKE YAKAHAMIA KULE SO LEO KWENYE BUZZ KATUCHANA NI NINI KINAENDELEA AKIWA STILL BADO YUKO KWENYA NA PIA KANICHANA KUNA COLLABO KUBWA KUTOKA KENYA AMBAYO KAIFANYA TAYARI. #theplaylist #tidmusic #tid #jamiiyangu #watapatatabusana #mgusowajamii #dogojanja #ireneuwoya #katika #jibebe #shida #mgusowajamii #godzilla #billnass #nikkimbishi #industrybuzz #buzz #ankalii #jamiiyangu #Enockbella #kenya #collabo #deal
#jamiiyangu ANOTHER ONE LEO KWENYE #industrybuzz NI SAUTI YA PRODUCER @mrttouchez NA KAMA WEEK MBILI HIVI ZIMEPITA NILIPIGA STORY NA PRODUCER KUTOKA #WCB PRO #LIZERCLASSIC NA ALINICHANA SO FAR MPAKA SASA HIVI KAISHA BADILISHA MZIKI WA BONGO FLEVA KWA ASILIMIA 60. NA LEO ILIKUWA NI CHANCE YA #MRTTOUCH KUTUCHANA KWA UPANDE WAKE MPAKA SASA ANAHISI GAME YA BONGO FLEVA KAIFIKISHA HAPO ILIPO KWA ASILIMIA NGAPI. #theplaylist #tidmusic #tid #jamiiyangu #watapatatabusana #mgusowajamii #dogojanja #ireneuwoya #katika #jibebe #shida #mgusowajamii #godzilla #billnass #nikkimbishi #industrybuzz #buzz #ankalii #jamiiyangu #mwanza #hamisamobeto #mrttouch #rayvanny #basata
Change your beliefs. Get the right knowledge. Become passionate about learning. Discipline yourself through the hard work of study. Cc @therealnikkimbishifans #nikkimbishi @diamondplatnumz
#JAMIIYANGU SIKU ZIMEBAKI CHACHE MWAKA KUISHA SO TUNAENDELEA KU#SHOWLOVEE KITAA NA LEO KWENYE #industrybuzz NILIPIGA STORY NA @linexsundaymjeda NA MOJA YA ISSUE ALICHANA NI JUU YA NGOMA AMBAZO ZIMEINGIA KITAA KWA MWAKA HUU. NA @linexsundaymjeda ALINICHANA KUWA MAPAKA SASA BONGO HAKUNA NGOMA KUBWA NA KALI AMBAYO IMETOKA KAMA YA IOKOTE YA @mauasama AMBAPO KANICHANA KWA MWAKA HUU WATOTO WA KIKE NDIO WAMETWALA GAME YA BONGO FLEVA. #theplaylist #tidmusic #tid #jamiiyangu #watapatatabusana #mgusowajamii #dogojanja #ireneuwoya #katika #jibebe #shida #mgusowajamii #godzilla #billnass #nikkimbishi #industrybuzz #buzz #ankalii #jamiiyangu #linex #iokote #mauasama #kibiriti
ARUSHA BOY #Exclusive_interview 😉🌠 #nikkimbishi #djhazuupromo #upcomingartist #ExaudBrown 2018mediatourbeginsnow🔥🔥
#jamiiyangu LEO KWENYE #industrybuzz NILIPIGA STORY NA @mbosso_ NA KATUCHANA MSALA AMBAO ANAKUTANA NAO KILA MARA HASA KWENYE MAHUSIANO. MOSSO AMETUCHANA KILA MARA AKIINGIA KWENYE MAHUSIANO LAZIMA MWISHO WAKE UTAISHIA KUACHWA JAPO ANAKUA KAFANYA KILA KITU KWENYE MAPENZI. #theplaylist #tidmusic #tid #jamiiyangu #watapatatabusana #mgusowajamii #dogojanja #ireneuwoya #katika #jibebe #shida #mgusowajamii #godzilla #billnass #nikkimbishi #industrybuzz #buzz #ankalii #jamiiyangu #mbosso #wcbwasafi #mbossokhan
Muda huu live kwenye PB #SAM_MAGOLI_The_Project #nikkimbishi
Muda huu live kwenye PB #SAM_MAGOLI_The_Project #nikkimbishi
"...Unatunyima KULA alafu kesho, Nikki njoo uwe balozi wa FISTULA.." 😶 . 😂😂😂nimenukuu jamani, leo tupo na My and yo Fav rapper UNJU BIN UNUKI #NikkiMbishi .Sayarini #Planetbongo #Eastafricaradio . #SammaGoliProject
#ANKALI PIA WEEKEND HII KUNA PICHA YA #BILLNASS PAMOJA NA @kingzilla_tz WAKIWA PAMOJA STUDIO. LEO KWENYE #industrybuzz NILIPIGA STORY NA #ZILLA AMBAE ALIWAHI KUTUCHANA YUKO KWENYE MAANDALIZI YA ALBUM AMBAYO ITAKUWA NA VICHWA MBALIMBALI AMBAVYO VITASIKIKA SO TUTEGEMEE COLLABO KATI YAKE NA #NENGA KATUCHNA LEO. #theplaylist #tidmusic #tid #jamiiyangu #watapatatabusana #mgusowajamii #dogojanja #ireneuwoya #katika #jibebe #shida #mgusowajamii #godzilla #billnass #nikkimbishi #industrybuzz #buzz #ankalii #jamiiyangu #godzillatz #billnasss #collabo
#jamiiyangu leo nilipiga story na  OG @khaligraph_jones NA ALICHANA TOFAUTI YA KIKI ZINAZOTOKEA BONGO NA KENYA KWA UPANDE WAKE ANAONA ZIPI ZIKO MBALI ZAIDI. NA KWA UPANDE WAKE AMESEMA KIKI ZA BONGO ZIKO TOFAUTI SANA NA ZA KENYA. #theplaylist #tidmusic #tid #jamiiyangu #watapatatabusana #mgusowajamii #dogojanja #ireneuwoya #katika #jibebe #shida #mgusowajamii #godzilla #billnass #nikkimbishi #industrybuzz #buzz #ankalii #jamiiyangu #khalighaphjones #og #buzz
next page →