Loading...

Baada ya kusambaa kwa video ikimuonyesha akimsema @officialalikiba kutokea bongo movie akitambulika kama Esha Buheti amefunguka baada ya Alikiba kuzipata habari hizo .
.
Esha amesema Alikiba alimtumia message ya kushangaa kwa kumsema yeye ana umwinyi jambo ambalo lilipelekea Esha kupokea matusi mtandaoni .
.
ESHA amesema alipata nafasi ya kumweleza Alikiba ili aelewe kilichotokea,na Alikiba kumwandikia Message kuwa Watapata tabu sana ,hii ikimaanisha ameelewa situation nzima nakupelekea ESHA kuwa na amani .
.
Esha anasema yeye ni shabiki wa Alikiba mpaka anakufa ,Na ushabiki wake kwake umekuwa kama ndugu .
.

1 month ago 1 10

Tagged Profiles

diamondplatnumz millardayo zarithebosslady richmavoko officialalikiba harmonize_tz bbcswahili akadmiks gigy_money_og wasafitv

51 Likes

1 Comments