Loading...

Moja kati ya waandishi wazuri wa nyimbo Ibrah nation Yeye anasema hajawahi pata shida kumwandikia mtu wimbo kwa sababu mpaka anataka kumwandikia mtu lazima amfahamu wawe na mitazamo sawa ili aweze fanikisha jambo hilo .
.
Ibrah nation amehusika katika kuandika nyimbo nyingi ikiwemo Main chick ya Maua Sama na Nyimbo zote za mwanadada kutoka THT .
.
@ibrahnation

1 month ago 0 14

Tagged Profiles

wizkhalifa kimkardashian davidoofficial wizkidayo diamondplatnumz millardayo samagoal77 mbosso_ harmonize_tz rayvanny bbcswahili irenewoya8 jolie_tz wasafitv

84 Likes

0 Comments