Loading...

.
.
Country boy amemtetea Mshikaji wake Wanayeunda Click ya MOCO Moni wa Centrozone baada ya watu kumdadisi kuwa amevaa kikuku .
.
Kupitia linkup updates ya Country amesema ile haikuwa kikuku ni bracelet ila watu wameshindwa kuelewa ,ukiwa unafanya vizuri kwenye game lazima utazungumziwa tu ndo maana ata amepata interviews nyingi kwasababu ya kutuzubgumzia kwahyo tumemsaidia amesema 'Country boy ' .
.
Country Boy ameachia wimbo wake mpya kukomesha utakao patikana kwenye album ya inayotarajia kutoka katikati ya mwezi wa Tisa .
.

3 months ago 3 9

Tagged Profiles

vanessamdee diamondplatnumz juma_jux zarithebosslady countryboytz moni_centrozone harmonize_tz rayvanny wasafitv

133 Likes (Last 100 Likes)

3 Comments